Asili ya neno Fonetiki:

Fonetiki imetokana na neno la Kigiriki linalojulikana kama “Phonetica” ambalo neno hilo limeundwa na maneno mawili ambayo ni “Phone” yaani Sauti na “tic” yaani uchunguzi au utafiti.

Kwa hivyo tunaweza kusema:

Fonetiki ni taaluma ya isimu inayo jishughulisha na uchunguzi wa sauti (Foni) zote zinazotumiwa na binadamu bila kuzingatia lugha maalum yaani lugha fulani. Hivyo Fonetiki ni taaluma pana katika uhalisia wake.

ZINGATIA

Ikiwa wewe ni Mwanachuo agiza Module nzima ya FONETIKI inayojumuisha mambo yafuatayo: na utajifunza vyema kila kitu tukiwa sote.

  1. FONETIKI
  • Maana ya Fonetiki (Fonetiki ni Nini?)
  • Matawi ya Fonetiki
  • Utamkaji wa Sauti za Lugha
  • Uainishaji wa Konsonanti
  • Uainishaji na ufafanuzi wa Irabu
  • Ishara za AKIKI na Unikuzi wa Maneno
  • Malengo ya Shirika la AKIKI
  • Matatizo ya Shirika la AKIKI
  • MAZOEZI

Au unaweza kuagiza kipande hiki cha somo

Ikiwa wewe sio Mwanachuo bali ni kidato cha Tano au Cha sita utatupigia simu au kututumia ujumbe tukutumie mada zako kulingana na hitaji lako.

TAFADHALI KUMBUKA TUNATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA KISWAHILI KWA MITANDAO SEHEMU ZOTE DUNIANI KWA BEI NAFUU KABISA KWA KILA MTU. TUNAFUNDISHA KUANZIA KUANZIA WANAOANZA KUSOMA MPAKA VYUO VIKUU.
NAMBA YA KUFANYA BOOKING NI KUBOFYA HAPA AU KUTUMA EMAIL info@swahiliteacher.com au kupiga simu +255 758 018 597

Karibu sana na ufurahie KISWAHILI

We are teaching Swahili for all levels (Beginners, intermediates, advanced and university Students around the world). What to do is booking by using our online booking form by pressing HERE  

or you may send us private email – info@swahiliteacher.com