Huu ni utaratibu wetu na utamaduni wetu na ndio siri mojawapo kwanini wanafunzi wetu hasa wa vyuoni na kidato cha sita wanafanya vizuri zaidi. Kila baada ya Kumaliza Mada yoyote kuu lazima kuwe na Mijarabu na Mazoezi ikiwemo Mijarabu Shitukizi (Quiz).
Na pasipo kupitia hii hatua ya kufanya mijarabu na mazoezi sisi kama SWAHILI TEACHER hatuwezi kumtambua mwanafunzi husika kwani nia yetu ni kuhakikisha mwanafunzi ameelewa na sio vinginevyo.

Karibu sana.