Semista hii inayo wingi wa mambo mapya kuliko semista yoyote tuliyosoma, Japo mambo hayo yasikutishe kwani ni moja ya semista ambayo wanafunzi wanafanya vizuri zaidi na ni semista wanafunzi wanaoanguka sana kutokana na kukosa umakini hasa kwa wanafunzi wanaosoma kwa watu wasiowazoefu na wenye ujuzi wa kina.

MADA

ISIMU AMALI

 1. Dhana ya Isimu Amali
 2. Uolezi
 3. Aina Za Uolezi
 4. Udhanalizo
 5. Aina za Udhanalizo
 6. Uchopezo
 7. Ushirikiano katika mazungumzo
 8. Kanuni Shirikishi za Mazungumzo
 9. Vimanilizi vya Mazungumzo
 10. Nadharia ya Kitendo Uneni
 11. Mazoezi na mijarabu kwa tuliyosoma.

Kufikia hapa ndio Mwisho halisi wa Kiswahili kwa ngazi ya Shahada.

wasiliana nasi kama unahitaji kuwa mwanafunzi namba zetu ni +255 758 018 597 / Email – emanmic@yahoo.com

Calendar is loading...