Dhana ya Lugha kwa Ujumla

Kwa wanachuo hasa

MADA YA KWANZA
DHANA YA LUGHA KWA UJUMLA WAKE

Fahamu maana ya Lugha kutoka kwa wataalamu mbalimbali kama Massamba, Msokile, Nkwera, TUKI n.k

Lugha ni ….

– Sifa za lugha ya binadamu

Je unafahamu kuna sifa ngapi za Lugha ya Binadamu?

Kuna sifa Tisa (9) za lugha ya Binadamu. Je ni zipi?

Je unafahamu umuhimu wa Lugha?

Fahamu hoja kuu tisa zinazoelezea sifa za lugha ya Binadamu

Je unafahamu Asili ya Lugha ya Binadamu?

Fahamu nadharia kuu zinazoelezea asili ya lugha ya binadamu na hoja kuntu ndani yake.

Je unafahamu Utofauti uliopo katika ya Lugha ya binadamu na mawasiliano ya wanyama?

Fahamu hoja kuu (10) kumi zinazoonyesha utofauti katika lugha ya binadamu na mawasiliano ya wanyama

HAYA NDIO MAMBO MAKUU KATIKA MADA HII KATIKA KIWANGO CHA CHUO (yaani kwa wanachuo)

WASILIANA Mr. Emanuel Kupitia +255 758 018 597 unaweza pia kutumia whatsapp au Email – emanmic@yahoo.com Utaweza kusoma mada hii nzima na ikiwa upon je ya Dar es Salaam (Tanzania) utaweza kusoma kupitia mtandao, na ikiwa una swali kuwa huru kuuliza ila kumbuka tu kujitambulisha kwanza.