Fonetiki kwa Ujumla

MADA YA TATU – FONETIKI KWA UJUMLA

Fonetiki ni nini?
Fahamu maana halisi ya fonetiki.
Fonetiki ni…

Matawi ya Fonetiki.
Fahamu matawi makuu ya fonetiki.

Jifunze Utamkaji wa sauti za lugha
hapa utajifunza pia ala za sauti na aina zake na namna ya kuzitumia ipasavyo.

Uainishaji wa Konsonanti na Irabu.
katika uanishaji wa konsonanti kuna vigezo maalumu vya kuzingatia. Utajifunza vigezi hivyo na hoja lukuki katika uainishaji wa konsonanti na irabu au nusu irabu

Uainishaji na ufafanuzi au uchanganuzi wa Irabu.
Hapa utafahamu vilevile namna halisi ya uanishaji wa irabu.
Utafahamu vigezo vikuu vinavyotumika tu kuainisha Irabu.

Fahamu maana ya AKIKI (Alfabeti za kifonetiki za Kimataifa)
Nini maana ya AKIKI?
AKIKI ilianzia wapi na mwaka gani?
Utafahamu maana ya AKIKI na historia yake kwa ufupi.

Fahamu  kazi na malengo ya AKIKI kwa undani wake katika lugha.

Fahamu changamoto na Matatizo katika shirika la IPA (The International Phonetic Association)

HAYA NDIO MAMBO MAKUU KATIKA MADA HII KATIKA KIWANGO CHA CHUO (yaani kwa wanachuo)

WASILIANA Mr. Emanuel Kupitia +255 758 018 597 unaweza pia kutumia whatsapp au Email – emanmic@yahoo.com Utaweza kusoma mada hii nzima na ikiwa upon je ya Dar es Salaam (Tanzania) utaweza kusoma kupitia mtandao, na ikiwa una swali kuwa huru kuuliza ila kumbuka tu kujitambulisha kwanza.