Isimu Maumbo – Mololojia

Mada ya Tano
ISIMU MAUMBO (Monolojia)

MADA YA TANO

ISIMU MAUMBO (Mofolojia)

Katika mada hii utajifunza yafuatayo:

Nini maana ya isimu maumbo?
(hapa utajifunza hadi asili ya neno Isimu Maumbo)

Mambo ambayo isimu maumbo imejikita kwayo.
(Fahamu ni mambo gani hasa ambayo isimu maombo inajishughulisha nayo kwa undani wake)

Matawi ya Isimu Maumbo (Mofolojia).
(Fahamu Matawi ya Isimu Maumbo [Mofolojia]. )

Dhana za Msingi za Isimu Maumbo (Mofolojia)
(Fahamu pia vipashio vya msingi vya Isimu maumbo au Mofolojia)

Fahamu Alomofu kwa undani wake na aina zake

Maana ya Shina na aina zake

Maana ya Mzizi na Aina zake

Tofauti kati ya Mzizi na Shina

Uundaji wa maneno
(Fahamu ni njia zipi zinazotumika katika uundaji wa Manene ya Lugha na Istilahi zake)

Fahamu aina kuu za maneno
(Maana kuu za maneno katika kiwango cha chuo, utazifahamu kwa undani na fafanuzi kwa wanachuo)

WASILIANA Mr. Emanuel Kupitia +255 758 018 597 unaweza pia kutumia whatsapp au Email – emanmic@yahoo.com Utaweza kusoma mada hii nzima na ikiwa upon je ya Dar es Salaam (Tanzania) utaweza kusoma kupitia mtandao, na ikiwa una swali kuwa huru kuuliza ila kumbuka tu kujitambulisha kwanza.