Mada ya Fonolojia kwa Undani wake

MADA YA NNE

FONOLOJIA

Yaliyopo katika mada hii kabla hatujasoma ni kama yafuatayo:-

Je nini maana ya Fonolojia?

Maana ya Fonolojia kulingana na wataalamu mbalimbali

Fonolojia ni…

Malengo ya Taaluma ya Fonolojia.
(Hapa utapata kujua malengo ya aina nne ya Fonolojia)

Matawi ya Fonolojia.
(hapa utapata kujua matawi makuu ya fonolojia na maana zake kuntu.)

Vipashio vya Fonolojia.

Kwanini Fonimu ni kipashio cha Kisaikolojia?
(Vigezo vinavyo dhihirisha kuwa Fonimu ni kipashio cha Kisaikolojia)

Kwanini Fonimu ni kipashio cha Kifonolojia?
(fahamu Vigezo vinavyo dhihirisha kuwa Fonimu ni kipashio cha Kifonolojia)

Kwanini Fonimu ni Kipashio cha Kifonetiki?
(fahamu Vigezo vinavyo dhihirisha kuwa Fonimu ni kipashio cha kifonetiki)

Fahamu Utambuzi wa Fonimu na Alofoni zake.

Aina Kuu za Fonimu.
(Fahamu Aina Kuu za Fonimu)

Fahamu maana ya Alofoni, Mkazo, Kidatu na Wakaa, kwa undani wake.

Fahamu maana ya Silabi na aina zake.

Fahamu Miundo ya silabi za Kiswahili Sanifu.

Fahamu Mifanyiko na Kanuni za Kifonolojia katika Lugha ya Kiswahili.

Fahamu Uhusiano na Utofauti wa baina ya Fonetiki na Fonolojia

WASILIANA Mr. Emanuel Kupitia +255 758 018 597 unaweza pia kutumia whatsapp au Email – emanmic@yahoo.com Utaweza kusoma mada hii nzima na ikiwa upon je ya Dar es Salaam (Tanzania) utaweza kusoma kupitia mtandao, na ikiwa una swali kuwa huru kuuliza ila kumbuka tu kujitambulisha kwanza.