Sarufi Maana (Semantiki)

ISIMU MAANA (SEMANTIKI)

MADA YA NANE

Katika mada hii tutajifunza yafuatayo

  1. Maana ya Isimu maana kulingana na wataalamu mbalimbali
  2. Maana ya Maana (Maana ya Maana kutokana na wataalamu mbalimbali.
  3. Viwango vya Isimu maana katika kuchunguza maana
  4. Umuhimu wa Umilisi wa Lugha
  5. Matawi ya Isimu Maana (Semantiki)
  6. Isimu maana Leksia (Semantiki Leksia) n.k
  7. Kazi kuu za Isimu maana Muundo (Semantiki Muundo) – Hapa utafahamu kazi kuu sita za isimu maana Muundo.
  8. Aina za Maana (hapa utapata kujua aina za maana na fafanuzi zake kwa undani)
  9. Nadharia za Maana (Hapa utafahamu nadharia kuu nane za maana kwa kina na mifano kuntu)
  10. Mahusiano ya Kifahiwa (hapa utafahamu aina kuu saba za Mahusiano ya Kifahiwa)
  11. Maana ya Visawe (Pia utafahamu  sababu kuu saba za utokeaji wa visawe)
  12. Nadharia ya Vikoa vya Maana (Utafahamu nadharia hii kwa kina)
  13. Kamusi
  14. nafasi ya Kamusi hasa katika fafanuzi na fasili za maana
  15. Muundo wa Kamusi (Utafahamu pia aina za kamusi)
  16.  Leksimu au Leksia (Utajifunza maana ya Leksimu kulingana na wataalamu mbalimbali)
  17. Vigezo vya muhimu vya kamusi bora katika viwango vya leksia
  18. Dhima ya Kamusi

WASILIANA Lr. Emanuel Kupitia +255 758 018 597 unaweza pia kutumia whatsapp au Email – emanmic@yahoo.com Utaweza kusoma mada hii nzima na ikiwa upon nje ya Dar es Salaam (Tanzania) utaweza kusoma kupitia mtandao, na ikiwa una swali kuwa huru kuuliza ila kumbuka tu kujitambulisha kwanza.