Even though we based in Dar es Salaam but we used to send our Chinese tutors allover Tanzania and East Africa at all. we can send a teacher in Arusha and give you a private Chinese Lesson at your home / Office.
Our Chinese teachers are well trained with great experiences, they all know how to handle any student, this is the only reason made us to receive so many positive feedback from our students.
Feel free to contact us for any inquiry.
PHONE – +255 758 018 597
Email – info@swahiliteacher.com
SWAHILI VERSION
Ingawa ofisi kuu ni Dar es Salaam lakini tumekua tukiwafikisha waalimu wetu wa Kichina Tanzania nzima na hata Afrika ya Mashariki kwa ujumla.
Tumekuwa tukiwatuma pia waalimu wetu wa Kichina Arusha kwa muda mrefu sasa.
Walimu wetu wa Kichina wana mafunzo na uzoefu toshelevu, wanafahamu namna ya kumfundisha mwanafunzi wa aina yoyote.
Tafadhali, kuwa huru kuwasiliana nasi kwa jambo lolote.
PHONE – +255 758 018 597
Email – info@swahiliteacher.com