MADA YA NNE
FONOLOJIA
Yaliyopo
katika mada hii kabla hatujasoma ni kama yafuatayo:-
Je
nini maana ya Fonolojia?
Maana
ya Fonolojia kulingana na wataalamu mbalimbali
Fonolojia
ni…
Malengo
ya Taaluma ya Fonolojia.
(Hapa utapata kujua malengo ya aina nne ya Fonolojia)
Matawi
ya Fonolojia.
(hapa utapata kujua matawi makuu ya fonolojia na maana zake kuntu.)
Vipashio
vya Fonolojia.
Kwanini
Fonimu ni kipashio cha Kisaikolojia?
(Vigezo vinavyo dhihirisha kuwa Fonimu ni kipashio cha Kisaikolojia)
Kwanini
Fonimu ni kipashio cha Kifonolojia?
(fahamu Vigezo vinavyo dhihirisha kuwa Fonimu ni kipashio cha Kifonolojia)
Kwanini
Fonimu ni Kipashio cha Kifonetiki?
(fahamu Vigezo vinavyo dhihirisha kuwa Fonimu ni kipashio cha kifonetiki)
Fahamu
Utambuzi wa Fonimu na Alofoni zake.
Aina
Kuu za Fonimu.
(Fahamu Aina Kuu za Fonimu)
Fahamu
maana ya Alofoni, Mkazo, Kidatu na Wakaa, kwa undani wake.
Fahamu
maana ya Silabi na aina zake.
Fahamu
Miundo ya silabi za Kiswahili Sanifu.
Fahamu
Mifanyiko na Kanuni za Kifonolojia katika Lugha ya Kiswahili.
Fahamu
Uhusiano na Utofauti wa baina ya Fonetiki na Fonolojia
WASILIANA Mr. Emanuel Kupitia +255 758 018 597 unaweza pia
kutumia whatsapp au Email – emanmic@yahoo.com Utaweza kusoma
mada hii nzima na ikiwa upon je ya Dar es Salaam (Tanzania) utaweza kusoma
kupitia mtandao, na ikiwa una swali kuwa huru kuuliza ila kumbuka tu
kujitambulisha kwanza.