Hapa ni mwaka wa tatu katika Semista ya kwanza, ni moja ya semista fupi au zenye mambo machache katika kitivo cha elimu kwenye Kiswahili, ni mambo anuwai yanayoeleweka japo kuna baadhi yanaweza kuwa mapya kwani ni moja za sehemu za juu katika lugha kwa namna moja au nyingine. Matarajio ya kusoma semista hii ni mwezi mmoja na nusu.

MADA

ISIMU MAANA 

  1. Dhana ya Isimu Maana
  2. Maana ya “Maana”
  3. Matawi ya Isimu Maana
  4. Aina Za Maana
  5. Nadharia za Maana
  6. Mahusiano ya Kifahiwa
  7. Nadharia za Vikoa vya Maana
  8. Nafasi ya Kamusi katika Ufasili na ufafanuzi wa Maana
  9. Mazoezi katika yote tuliyosoma

Kama nilivyotangulia kukuambia Semista hii inayo mambo machache japo inategemea maana kuna wanafunzi tunawafundisha hadi miezi miwili na nusu kutokana na kutokua wepesi na kutoenda pamoja katika nyanja za kusoma, ila kwa mwanafunzi anayezingatia matarajio yetu sahihi ambayo wengi wanayakidhi ni mwezi mmoja na nusu.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.