Semista ya kwanza inajumuisha mambo anuwahi ambayo ni mising ya semista za mbeleni, hivyo ni semista ya kwanza ni muhumu sana kuwa makini zaidi na haina ugumu ila uzingativu ni jambo la msingi, changamoto kubwa inatokea mwanafunzi kukariri badala ya kuelewa hivyo kupata shida au kutumia nguvu nyingi kuelewa huko mbeleni.

MADA ZA SEMISTA YA KWANZA KWA KISWAHILI

1. DHANA YA LUGHA

 

2. TAALUMA YA ISIMU

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.