Katika semista ya nne mwaka wa pili hujumuisha moduli zisizo na vitu vingi sana kujumuisha na moduli zilizopita. Japo wanachuo wengi wanaona kuna changamoto hasa kutokana na kutoelewa vizuri moduli zilizopita, hii ni kutokana wanafunzi wengi wanasoma kujibu mitihani na sio kuelewa. Kwa wanafunzi wetu nadhani tunajua namna ya kuwafanya waelewe kutokana na mbinu za kipekee katika utoaji wa mafunzo yetu ya Kiswahili.

MADA

1. MIKABALA YA SARUFI

 1. Dhana ya Sarufi
 2. Mkabala ya Sarufi Mapokeo
 3. Mkabala wa Sarufi Miundo
 4. Mkabala wa Sarufi Geuza Maumbo Zalishi
 5. Sarufi Zalishi
 6. Dhana za Sarufi Zalishi
  • Umilisi
  • Utendaji
  • Umbo La ndani
  • Umbo la nje
  • Uchamko
 7. Sarufi Geuza Maumbo
 8. Sarufi Miundo Virai
 9. Mazoezi kuhusu tuliyosoma

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.