1.  ISIMU MAUMBO

 1. Dhana Ya isimu maumbo
 2. Matawi ya Isimu Maumbo
 3. Dhana za Msingi za Isimu Maumbo
  • Mofu
  • Alomofu
  • Mofimu
  • Viambishi
  • Shina
  • Mzizi
 4. Uundaji wa Msamiati/maneno
 5. Aina za Maneno

2. ISIMU MIUNDO (SINTAKSIA)

 1. Dhana ya Isimu Miundo
 2. Malengo ya Isimu Miundo
 3. Vipashio vya Lugha
 4. Uainishaji wa Sentensi za Kiswahili
 5. Kishazi
 6. Kishazi Huru
 7. Kishazi Tegemezi
 8. Kirai
 9. Uchanganuzi wa Sentensi
 10. Muundo wa Tungo za Kiswahili
 11. Kategoria Amilifu katika Tungo za Kiswahili
 12. Kiima
 13. Kiarifu
 14. Shamirisho
 15. Chagizo
 16. Kijalizi
 17. Kikumushi
 18. Kategoria za Kisarufi
 19. Nafsi
 20. Njeo
 21. Idadi
 22. Kauli
 23. Dhamira
 24. Halinjeo
 25. Uhusika
 26. Jinsia.
 27. Mazoezi

Kufikia hapo tutakua tumemaliza salama Semista ya tatu yaani mwaka wa pili.

This is the end of the third semester in the second academic year.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.